Clouds FM - 88.5 FM

Clouds FM - 88.5 FM - Dar es Salaam

Radio Information

Genres:
Top 40,Pop
Language:
Swahili
Location:
Dar es Salaam, Dar es Salaam, Tanzania
Short URL of Page:
CallSign:
~
Frequency:
88.5
Type:
Internet, FM
Description:
Clouds FM is a broadcast radio station in Dar es Salaam, Tanzania, providing Community News, Informaiton and Entertainment.

Recent Comments

User
John

🌟

User
Withiness Matrin

🎧

User
Withiness Matrin

😍

User
Withiness Matrin

safi kabisa

User
Rickam Bikenge

Na wafata Congo Bukavu

User
Rickam Bikenge

🎧

User
Rickam Bikenge

Ni Rickam B Mauzo

User
Mpiga Nyenye

hi nakupata mummy babe

User
Patrick Massawe

nawapata vema sana hapo studio Queen,the president herself Frida Amani,the Blue boy wakishua Millard Ayo pamoja na Vido Vidonga.... kikosi CHAWAMAI tuko nanyi pamoja

User
Saidi Ngwaya

reo nimejuwa umuimu wa simu ya aina ya tachi nilikuwa siwapati kwenye fm apa kibiti pwan mpk nimeamua kuidanlord app ya fm radio nawapa vzr sana

User
Ligho

Nawapata nikiwa Zanzibar hampatikani kabisa kwenye normal, Hadi not nikuja FM radio ndio nimewapata

User
Amidu Assan

Nawapata kutoka Singida hapa

User
Salehe omary

naitwa salehe Omary nipo ifakara morogoro

User
Faraja Robert

🎧

User
mfungo bryceson

nataka record ya dr eli ya hapo crouds

User
Dith Kanoge jr

bara ulaji ndo mwingi

User
SHISHILIMBE 2020

nawapata kutoka moroni comoro

User
peter Jonathn (pierthn)

nawapta kutoka igunga. nilitaman sana siku moja farahan awe mtangazaji rasmi kwan anajua sana

User
Lutf Mohamed

sentro

User
Frankline Ogot

Yoh..

User
Young Mudy

nashida na mke humu

User
Amosi Bundala

hiyo nikweri sisi binadamu tunajiua wenyewe.

User
Yeasr Msafi

yeah

User
AL-Gab

Eid inaenda vyema kabisa

User
Praisegod nathan Kashambaita

Toka iringa tz pamoja Hadi mwisho

User
Timo Thuglife

natoa pol San kwa mama na mwanae

User
Issa Mgeni

redio bora'

User
Dj f2 hb

mambo vipi wadau

User
Salumu Mkangeni

hakuna radio bora tanzania hii kaka clouds FM

User
Frank Assey

niko kiteto ila huku kupata fm radio nishida tusaidieni.hapa nawapata online tuu