Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS (Technology)

My Gatima by Kirikou feat. Masterland | download mp3

06 Jul, 2017 - 3 minutes

Episode Description

Kuna vitu vingine kuamini kwenye maisha inakuwaa ngumu sana lakini wakati mwingine unakuwa huna budi kuamini unapoaminishwa. sasa hii ni moja ambayo inakufanya uelewe kuwa ukweli unakuwa wazi mara nyingi kutokana na kile ambacho kinakupa radha unazozitaka. usiumize kichwa sana kutaka kujua nini kimetokea,kuwa mtu wa kwanza kusikiliza ngoma mpya ya kwake mwanamuziki mchanga sana […] The post My Gatima by Kirikou feat. Masterland | download mp3 appeared first on Swahilimedias.